KATIBU WA NEC ITIKADI, UENEZI NA MATUNZO PAUL MAKONDA AKIFANYA MAOMBI NA MAMA JANETH MAGUFULI


KATIBU wa NEC, Itikadi, uenezi na mafunzo Paul Makonda amefika nyumbani kwa hayati Dr John Pombe Magufuli  kumsalimia na kuonana na mjane wa Magufuli mama Janeth Magufuli na kufanya mazungumzo na maombi