Mwandishi wa habari wa magazeti ya nipatie Mkoa wa Mwanza Richard Maro Makore amefariki dunia katika ajali ya gari la sheraton iliyokua ikisafiri kutokea Mwanza kuelekea wilaya ya mbogwe.
Katika ajali hiyo watu 10 wamefariki na majeruhi 48 mganga mfawidhi Dr Mfaume Salum amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo
0 Maoni