Chama Cha mapinduzi kimemteua Sophia Mjema kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi mpya.

Sophia Mjema  ambaye kabla ya uteuzi wake alikua MKuu wa Mkoa wa Shinyanga amekua katibu wa itikadi na uenezi Taifa MPYA  ndani ya CCM huku safu ya secretariat mpya ikitangazwa