watendaji wa TANESCO na REA Kagera
KAGERA
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Albert Chalamila
amewataka wakandarasi na wasimamizi wa mradi ya Rea awamu ya tatu mzunguko wa
pili unaendelea kutekelezwa mkoani humo wabadilike na wakamisha mradi huo kwa
wakati.
Akizungumza na mameja shirika la umeme
Tanzania Tanesco wa wilaya ndani ya mkoa huo na wakandarasi pamoja na wabunge
amabao na wawakilishi wa wanachi wenye gharama zaidi ya shilingi bilioni
37 unaoendelea tekelezwa mkoa mzima na kampuni ya jv pomy
engineering company ltd and qwihaya general partnership project amesema
kuwa kwa sasa tunahitaji maendeleo ndani ya mkoa huu, hatuwezi kuona mtu
anapewa kazi akashindwa kutekeleza tukakubalia na kwenda naye, sasa ni maendeo
tu ndo wanataka wanchi wa Kagera.
“Katika Mkoa wutu
mimi ningeliomba mbadilike i want from today to change you are
behave part badilisheni luwaa za tabia zenu sisi kiukweli huwa hatuna
mzaa katika usimamizi wa miradi mahali panapo hitaji siasa wananchi ntawambia
hapa sio”, amesema Rc Chalamila.
Kwa upande wake mwakilishi wa mkurugenzi mkuu wa Rea Adivara Mwijage amsema kuwa kwa upande wa huduma ya nishati ya umeme vijijini serikali imetenga fedha zipo na chanagamoto walio nayo ni wakandarasi kutotekeliza miradi kwa wakati na kutumia nafasi hiyo kumtaka mkandarasi anaye simamia upande wa mkoa Kagera kufikia mwezi april mwaka huu aweamekamilisha mradi huo ambapo mradi huu ulitakiwa ukamilike tangu mwezi January 2023.
TUKO SITEKatika hatua nyingine Adivera ametoa rai kwa
wasimamizi wa miradi kuacha tabia ya kutowalipa vibarua ili kuondoa migongano
katika vijiji na maeneo ya miradi ya REA inayotekelezwa.
0 Maoni