Chama Cha mapinduzi kimetaja majina ya wagombea wa nafasi za NEC viti 20 uchaguzi utakaofanyika siku ya tar 7 December 2022
Miongoni new majina ya wagombea zipo sura mpya ambapo mwandishi wa habari Rose Mweko has jina lakelimechomoza.
Rose Mweko ni kada mtiifu ambaye amewahi kugombea nafasi mbalimbali ndani ya chama kwa nyakati tofauti na bado akaendelea kuwa mtulivu
Rose Mweko 2015 aligombea ubunge Jimbo la Kasulu mjini katika kura za maoni kura hazikutosha
2017 Rose Mweko aligombea ujumbe Baraza Wazazi Mkoa wa Geita na kuibuka mshindi ambapo alikua Mjumbe wa baraza la wazazi Mkoa wa Geita na mjumbe wa kamati ya utekelezaji Mkoa wa Geita
2020 aligombea ubunge vitimaalum Mkoa wa Geita kura hazikutosha .
Rose Mweko ni mdada mcheshi mnyenyekevu, mnyenyekevu na mshauri mzuri
Rose Mweko ana jicho la tatu katika kun'gamua jambo japo ni mtulivu katika kuchukua maamuzi
Wajumbe tumchague ROSE Mweko dada mwenye ujasiri shupavuhakika anafikika na kutumika bila shida
0 Maoni