Ndege ya Shirika la Ndege la Precision, imeanguka ziwani mjini Bukoba, Mkoani Kagera asubuhi ya leo Novemba 6, 2022
Taarifa za awali zinaonesha ndege hiyo imeanguka ziwani, uokoaji wa abiria unaendelea
-Taarifa kwa kina zinafuata
Precision muda sio mrefu imezama ikiwa inatua Bukoba. Abira 23 kati ya 49 mpaka sasa wameokolewa
0 Maoni