Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Geita leo inafanya uchaguzi kuchagua Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Geita na kamati yake ya siasa.