NA ROSE MWEKO,GEITA


AFISA MASOKO WA STAMICO MARK STEPHANO AKIONYESHA JINSI MKAA HUO UNAVYOWEZA UPIKA NA KUIVISHA VYAKULA

SHIRIKA LA MADINI LA TAIFA (STAMICO) LIMEBUNI NJIA MPYA YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA KWA KUTENGENEZA MKAA MBADALA UNAOTOKANA NA TAKA MBALIMBALI ILI KUOKOA UHARIBIFU WA MAZINGIRA UNAOTOKANA NA UKATAJI WA MITI KWA AJILI YA KUTENGENEZA NISHATI YA MKAA.




AFISA MASOKO MARK STEPHANO AKIFAFANUA JAMBO


AKIZUNGUMZA NA WENYEVITI WA HALMASHAURI YA GEITA NA GEITA MJI AFISA MASOKO WA STAMICO MARK STEPHANO ALISEMA STAMICO INAJIVUNIA MIAKA 50 YA UTAFITI USIMAMIZI WA MADINI NCHINI HUKU IKIENDELEA KUWASISITIZA WADAU KUTUNZA MAZINGIRA.





MKAA MBA
NAMNA MKAA MBADALA UNAVYOFANYA KAZI VIZURI KULIKO MKAA WA KAWAIDA

KATIKA KUTHAMINI NA KUJALI UTUNZAJI WA MAZINGIRA STAMICO IMEKUJA NA MKAKATI WA KUHAKIKISHA KILA MWANANCHI ANATUNZA MAZINGIRA KWA KUTOKATA MITI JAMBO LITAKALO WEZESHA UOTO WA ASILI NA UTUNZAJI WA MAZINGIRA.