KATIBU MKUU WIZARA YA MADINI MSAFIRI MBIBO ATEMBELEA BANDA LA TUME YA MADINI KATIKA MAONESHO YA MADINI GEITA*
picha za matukio mbalimbali katika ziara ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Msafiri Mbibo kwenye Banda laTume ya Madini katika Maonesho ya Tano ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini yaliyofanyika katika viwanja vya Bombambili Mjini Geita tarehe 28 Septemba, 2022
Katika ziara yake amewataka wananchi wa mkoa wa Geita na mikoa ya jirani kujitokeza kwa wingi kwenye maonesho hayo, kwa ajili ya kupata elimu ya namna wanavyoweza kunufaika kwenye Sekta ya Madini sambamba na kupata majibu ya kero zao.
0 Maoni