BUKOBA
Katibu tawala Mkoa wa Kagera Toba Nguvila amewataka watanzania wanao ishi ndani ya Mkoani huo kishiriki kikamilifu zoezi la sensa ya watu na makazi inayotarajia kufanyi agosti 23 mwakaa na ili Tafa liweze kupata mustakali ya wa maendeleo ya kiuchumi,kijamii na kisiasa.

KATIBU TAWALA TOBA NGUVILLA AKIWA NA MCHUNGAJI WA KANISA LA KKKT DIOSISI YA KASKAZINI MAGHARIBI
Akizungumza katika Ibada ya Kanisa la Kiinjili la kirutheli Tanzania KKKT Diyosis ya Kaskazini Mangaribi hii leo Manispaa ya Bukuba, Katibu tawala Mkoa wa Kagera Toba Nguvila amesama kuwa zoezi hilo ni muhimu kwa mipango ya mbele ya serikali kuleta maendeo katika maeneo mbalimbali ikiwemo vituo vya Afya idadadi ya watu ni muhumu sana,hata katika upande wa makanisa ukitaka kuongeza usharika utahitaji takwimu za watu.

WAUMINI WA KANISA LA KKKT DIOSISI YA KASKAZINI MAGHARIBI WAKIMSIKILIZA KATIBU TAWALA MKOA WA KAGERA TOBA NGUVILA (hayupo pichani) KATIKA IBADA
"kwa mustakabali wa Taifa letu la Tanzania hata wale wanasafiri watoe ushirikiano wa kuhesabiwa kwa mfano ukihitaji pata kituo cha afaya idadi ya watu ni muhimu sana na ukiongeza Usharika mwingine idadi ya wananchi inaumuhimu sana na zoezi hilo litasaidia uchumi,kijamii pamaoja n mambo ya kisiasa" amesama Ras Nguvila.
0 Maoni