*BEI YA PAMBA JUU TENA,TOKA TZS 810 HADI TZS 1,800 MAKOFI KWA RAIS SAMIA*.....
Bei ya Pamba Tanzania imepanda kutoka Tshs 810/kg mpaka Tshs 1,720-1,800/kg kwa kilo hivi sasa,
Hii ni sawa na ongezeko chanya la 125% ambalo wakulima wanalipwa mkono kwa mkono tena by " Cash money" NO CASH NO COTTON
Huko nyuma hawa wakulima wa Pamba Pamoja na kupewa bei ndogo ya Pamba yao bado Watoto hawa wa Masikini waliuza Pamba yao kwa Mkopo.
kwa msiofahamu,Turufu pekee ya kisiasa Kanda ya Ziwa ni "Bei ya Pamba"
CCM imekuwa ikihenyeshwa katika kila Uchaguzi kosa la CCM ikiwa ni kushindwa kudhibiti "Bei Ya Pamba "
RC Kafulila anasema ,tangu Uhuru bei ya Pamba haijawahi kufikia Tshs 1,720-1,800/kg ila ni kwa awamu hii ya Sita na Mhe Samia Suluhu ndio Rais,
Leo Mama Samia ameamua kupunguza faida ya Wanunuzi|Walanguzi wa Pamba ili kumtetea huyu Mlalahoi kwa Vitendo kwa kumwongezea Tshs 700/kg ya Pamba atakayouza iliyokuwa iende kwa Mnunuzi kama faida Mama ameirudisha kwa Mkulima na hii ndio maana halisi ya "Mama"
0 Maoni