1.
Naibu Waziri Kilimo Anthony
Mavundea kiongea katika kikao kazi na Washiriki wa mkutano huo na Wawekezaj ikutoka China.
NA ROSE MWEKO,
Naibu Waziri Kilimo Mhe.
Anthony Mavunde ameihakikishia kampuni kubwa ya uzalishaji wa mbegu iitwayo Longping High Tech kuwa Serikali ya awamu ya sita imejipanga
kusimaia uwekezaji wenye tija wa zao la soya kuanza mwaka huu ili zao hilo kuanza
kuchagia pato la taifa.
Mavundea litoa kauli hiyo wakati
akizungumza na Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Bwana Liang Shi katika kikao kilichohudhuriwa
na Naibu Waziri Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe, Balozi wa Tanzania
nchini China; Mhe. Mbelwa Kairuki, Balozi wa Tanzania nchini Brazil, Prof.
Adelardus Kilangi,Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bwana Andrew Massawe na viongozi
mbalimbali,aidha kwa upande wa kampuni hiyo alikuwepo Mkurugenzi wa Biashara na
Fedha wa Longping High Tech Bwana Shangyang Wu.
Mavunde alisema Wizara ya Kilimo
kwa kutambua umuhimu wa zao hilo katika kuinua maisha ya Watanzania, Wizara imejipanga
kuwawezesha watanzania kunufaikana uwekezaji huo huku akiwahakikishia wawekezaji
hao kuwa uwekezaji wao utakuwa wenye tija.
Katika kuhakikisha adhma hiyo
inatekelezwa, Naibu Waziri Mavunde ataongoza timu ya Wataalam kutoka wizarani naTaasisi
nyingine zilizo chini ya Wizara hiyo kwenda mkoani Mbeya kuzungumza na wakulima
wa zao hilo ikiwa ni harakati za awali za kuanza kwa uwekezaji huo mkubwa ambapo
uongozi wa Mkoa wa Mbeya umeshatenga ardhi kwa ajili ya zao hilo.
“HawaWawekezajiwametembeleasehemumbalimbalimikoanikuangaliamaeneoyakusaidiauzalishajiwazaohiloambapowamekuwawakiongozananawatendajiwataasisizilizochiniyaWizarayaKilimo
1.
Naibu Waziri Kilimo Anthony
Mavunde akiwa pamoja na Naibu Waziri Wizara ya Uwekezaji Viwanda na Biashara Exaud Kigahe katika kikao kazi na Wawekezaj ikutoka
China.
Kwa upande wake KatibuMkuu Wizara ya Kilimo Bwana Andrew MassaweamesemaWizarayaKilimoitatoakipaumbelekwakampuniyaLongping High Techiliianzezoezi la kuingizambegubora za soya kwaajiliyamajaribiomapemaiwezekanavyo.
“Taasisi ya Udhibiti wa Ubora wa Mbegu
(TOSCI) ipo chini ya Wizara ya Kilimo; Nitahakikisha mnapataushirikianowakutosha,
nanisemejambomojahatakamabadomtakuwanamahitajiyaziadamsisitekutuambia,
ilimpateusaidizimapemaiwezekanavyo”. AlisemaKatibuMkuu Andrew Massawe.
nabaadhiyamaeneoambayowamependakushirikiananaWakulimakuendelezazaohilinimkoawa
Mbeya ambapohataSerikaliyamkoaumeshatoaardhihekarilakimojawilayaniChunya,
ambapomwekezajiatalionaeneokablayakuanzakwauwekezaji.”amesemaMavunde.
Mavundeamesemauwekezajihuo,
utaongezatijanauzalishajiwamaharageya soya kwasababu, kampuniya Longping
itatoambegu bora za soya, zana bora za
kilimokwaWakulimawakatinawakubwanauhakikawasokobaadayawakulimakuanzakuvuna.
“Wakulimawa Tanzania
wamekuwawakibaliwanachangamotoyamasokoyauhakika,
kwenyeuwekezajihuusokoliponikubwana la uhakikaambapomkulimaataendashambaniakiwanauhakikawawapiatauzamazaoyake.”aliongezaNaibu
Waziri Mavunde.
NayeNaibu Waziri
ViwandanaBiasharaMhe. ExaudKigaheamesemaWizarayakekupitiaKituo cha UwekezajiTanzania
(TIC) imejipangakufanikishauwekezajihuo.
“TumeshakubalianakuwezeshakuanzakwaharakakwakwamradihuuhasaikizingatiwakuwanimatokeaoyamkutanowaMawaziriwa
Afrika, uliofanyika China nana Tanzania nikatiyanchitatu za Afrika
zilizopatanafasiyakuuzazao la soya katikasoko la China, nchinyingineni Benin na
Ethiopia.” AmesemaNaibu Waziri Kigahe.
Kwa upandewake Balozi wa
Tanzania nchini China, MbelwaKairukiamesemakampuniya Longping inatambulikanaimepata
baraka zotekutokaserikaliya China nakuzitakamamlakazinazohusiananamradihuukufanya
kazi kwajuhudikubwakwakuwafursayauwekezajimkubwawazaidiyaShbilioni 500
itumiweipasavyo.
0 Maoni