TSSF: TANZANIA SOCIAL SUPPORT FOUNDATION
Shirika lisilo la kiserikali yani NGOS (TSSF) limetoa taarifa kwa umma kuhusu uvumi unaovumishwa na mitandao kupitia blogs mbalimbali kwamba shirika ilo ni la kitapeli
Hivyo basi kupitia mkurugenzi wa TSSF amependa kuomba radhi kwa watanzania wote na kusema kwamba taarifa hizo si za kweli na wale wanaoendelea kuomba wafanye hivyo mpaka tarehe 30NOV.
KWA TAARIFA ZAIDI SOMA HAPO CHINI
<<DOWNLOAD HAPA>>
0 Maoni