Alichosema BillNass kuhusu Colabo ya Diamond Platnumz na Rick Ross
Hit amke wa nyimbo kama Raha, Ligi Ndogo na Mazoea, Billnass amefunguka kuhusu Ukubwa wa Colabo ya Diamond Platnumz na Rick Ross, Billnassamefananisha colabo hii na colabo zingine zilizotingisha Africa kama colabo yaDiamond Ft Davido, Joh Makini Ft AKA, Ay Ft Sean Kingston, Msikilize zaidi Hapa….
BONYEZA PLAY
0 Maoni